Pinda amsifu JPM kwa Ujenzi wa Miradi ya Mkakati- Maonesho ya Viwanda Pwani |
|
Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda amemsifu Rais Magufuli kwa kuamua kujenga miradi ya kimkakati ikiwepo Reli ya Kisasa ya SGR, miundombinu ya Barabara, ununuzi wa ndege, ujenzi wa Uwanja wa Ndege, Mradi wa kufua umeme Stigler's na miradi mingine mingi, asema anafanya mambo makubwa.
|