Mwijaku atamba kuwa na pesa nyingi. |
|
Msanii wa maigizo na msemaji wa mitandao Mwijaku amesema mshahara anaupata unauwezo wa wa kulisha wasanii 10 wa Bongo na familiazao,Mwijaku amesema hakuna msanii mwenye uwezo wa kuishi kwa kipato chake cha usanii kwa kuwa wengi hawajielewi.
Pia Mwijaku amesema kwa mwezi wa Ramadhani unaotajariwa kuanza week ijao atapitia kila msanii kuhakikisha anafunga la sivyo atawaonyesha cha mtema kuni. |