Magoli | Coastal Union 1-2 Simba SC | NBC Premier League 09/03/2024 |
|
Willy Essomba Onana ameingia kutoka benchi dakika ya 70 na kuifungia Simba bao la ushindi dakika ya 73, Coastal Union wakafa kwa kichapo cha mabao 2-1 kwenye dimba la Mkwakwani, Tanga.
Simba ilitangulia kwa goli la Freddy Koublan dakika ya 11 kabla ya Lucas Kikoti kuichomolea Coastal Union dakika ya 24. |