Rais Ruto na Mfalme Charles watathmini teknolojia ya kijeshi |
|
Kitengo cha kwanza cha makomando wa majini wa kenya katika kambi ya mtongwe mombasa ndicho kilikuwa mwenyeji wa mfalme charles wa uingereza katika siku yake ya tatu ya ziara yake nchini. Mfalme na malkia camila walionyeshwa ustadi wa majeshi wanamaji waliopata mafunzo kutoka kwa jeshi la uingereza kama njia ya ushirikiano wa mataifa haya mawili.
|