♫musicjinni

Coastal Union 1-2 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 09/03/2024

video thumbnail
Willy Essomba Onana ameingia kutoka benchi dakika ya 70 na kuifungia Simba bao la ushindi dakika ya 73, Coastal Union wakafa kwa kichapo cha mabao 2-1 kwenye dimba la Mkwakwani, Tanga.

Simba ilitangulia kwa goli la Freddy Koublan dakika ya 11 kabla ya Lucas Kikoti kuichomolea Coastal Union dakika ya 24.

TIZAMA: TFF Waingilia KATI Vitendo Vya Mashujaa FC Dhidi Ya Simba SC Leo Baada Ya Wallace Karia

🛑AHMED ALLY ATANGAZA VITA YA KUELEKEA NUSU FAINAL CLUB BINGWA! "HATA WAKIVAA JEZI ZAO HATUWAOGOPII"

Disclaimer DMCA