♫musicjinni

Magoli | Simba 1-5 Yanga SC | NBC Premier League - 05/11/2023

video thumbnail
Simba SC imepokea kichapo kizito cha mabao 5-1 kutoka kwa Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC #NBCPremierLeague kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Yanga walianza dakika ya 3 kwa goli la Kennedy Musonda kabla ya Simba kuchomoa dakika ya 9 kupitia kwa Kibu Denis.

Kipindi cha pili Yanga ikashindilia kwa mabao ya Maxi Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 64 na 77, Stephane Aziz Ki dakika ya 73 na Pacome Zouzoua dakika ya 87 kwa mkwaju wa penati.

Haya hapa magoli yote sita ya mchezo huu...

Magoli ya Kariakoo Derby (Kiingereza) | NBC Premier League - 05/11/2023

🔴 YANGA SC 2-1 SIMBA SC | KARIAKOO DERBY | UWANJA WA BENJAMIN MKAPA

SHABIKI SIMBA ACHAFUKWA

simba sports club yafanya ziala ya mtaa kwa mtaa na Ahmed ally semaji la kimataifa kuwakabili

SIMBA NOMA!!

ZA NDAANI!!Simba Ilivyowapiku Yanga Usajili wa Ladack Chasambi wa Mtibwa| Ricardo Afunguka Kila Kitu

USAJILI!! Simba Yamtambulisha Rasmi Usajili wa Fiston Mayele kutoka Pyramid FC

SIMBA NOMA!! Simba Kukamilisha Uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam Fc?

WOW!! Simba Yaanza na Usajili wa Yahaya Mbegu (22) Kutoka Singida FG kwa Miaka Mitatu

🔴#live_uchambuzi KARIAKOO DERBY LEO,SIMBA SC WANATAKIWA WATUMIE MBINU HIZI KUIFUNGA YANGA SC MAPEMA

DUUUUH!! Simba Yafanyia Umafia Yanga Usajili wa Jonathan Sowah wa Medeama (24)

TOBAAA!! Simba Wahusishwa Kumsajili Jonathan Alukwu wa Nigeria

TETESI ZA USAJILI!! Orodha ya Mastaa Wapya Wanaohusishwa Kujiunga na Simba Dirisha Dogo 2024

Yanga Waingia Vitani Kunasa Saini ya Mshambuliji Willium Sankara Karamoko(19) wa Asec Miamosas|

KUBWA KULIKO!! Simba Washusha Mashine Mpya Baada ya Kupasua Wydad Casablanca| Simba vs Wydad Leo

TAARIFA !! Yanga Mbioni Kukamilisha Usajili wa Ranga Chivaviro wa Kaizer Chiefs kwa Mkopo

MOO UMEPIGAJE HAPO? Feisal Salumu Huyooo Atua Msimbazi Rasmi

WOOOW!! Simba Yadaiwa Kutaka Saini ya Kiungo Feisal Salumu(Fei toto) Kutoka Azam|

HII NOMA!! Jonathan Sowah wa Medeama Akubali Kujiunga na Yanga|" Hii ni Timu Nzuri"

USAJILI MWINGINE!! Simba Yakamilisha Rasmi Uhamisho wa Jonathan Alukwu (20) wa Nigeria|

DIRISHA DOGO!! Yanga Yakamilisha Usajili wa Sankara Karamoko (23) kwa Miaka Mitatu

USAJILI KUFURU!! Simba Wadaiwa Kumchoma Rasmi Feisal Salum kutoka Azam FC|

KISHINDO!! Wakamilisha Uhamisho wa Aubrey Modiba (28) wa Mamelodi kwa Dau la MIL 800/=

Young Africans vs Coastal Union Live | Premier League 2024 Live Match Streaming

NOMA SANA!! Simba Wadaiwa Kumuwania Rasmi Fiston Mayele kwa Mkopo kutoka Pyramid

ZAAAANDANI KABISA! Simba Wathibitisha Kuachana na Clatous Chama | Kocha Hamtaki Tena

TAARIFA KWA UMMA !!Jonathan Sowah (24) wa Medeama Akubali Kusaini Yanga

USAJILI!! Simba Yakamilisha Usajili wa Kiungo Feisal Salumu |Fei toto Kutoka Azama Fc

UCHAMBUZI! Simba Waingia Rasmi Kuwania Saini ya Jonathan Alukwu wa Nigeria

BADO HAMJASEMA! Simba Yafanya Umafia kwa Yanga Usajili wa Jonathan Sowah wa Medeama kwa Miaka Miwili

Disclaimer DMCA