♫musicjinni

Magoli | KMC 1-4 Simba | NBC Premier League 24/12/2021

video thumbnail
Kibu Denis amefunga magoli mawili wakati mabingwa watetezi wa #NBCPremierLeague Simba SC wakiitandika KMC mabao 4-1, kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.

Katika mchezo huo ambao KMC walikuwa wenyeji na kuuchagua uwanja huo, goli lao pekee limefungwa na Abdul Hillary dakika ya 41 huku Mohamed Hussein Zimbwe Jr na Joash Onyango wakiwa wa kwanza kufunga magoli mawili ya Simba

Tabora United 0-4 Simba SC | Highlights | NBC Premier League 06/07/2024

Tazama magoli yote yalivyopatikana Simba 4 vs Kmc 1. kocha pablo. Achukia mpk kupiga kiti kwa mguu

Disclaimer DMCA