Polisi warusha vitoa machozi kuwatawanya wafuasi wa Maina Njenga katika makao makuu ya DCI |
|
Polisi wamelazimika kurusha vitoa machozi kuwatawanya wafuasi wa Maina Njenga katika makao makuu ya idara ya upelelezi hapa jijini Nairobi. Maina njenga alijisalimisha kwa DCI Nakuru hapo jana kabla ya kusafirishwa hadi Nairobi na kwa sasa anaandikisha taarifa. Polisi wanadai kupata bunduki, risasi na bhangi nyumbani kwake.
|