♫musicjinni

EXCLUSIVE: RAY Amkana JOHARI Mbele ya CHUCHU HANS "Sio MPENZI Wangu"

video thumbnail
EXCLUSIVE: RAY Amkana JOHARI Mbele ya CHUCHU HANS "Sio MPENZI Wangu"

Kwa mara ya kwa kupitia Global TV, Muigizaji nguli wa filamu, Ray Kigosi, amezungumzia uhusiano wake wa kimapenzi na Mzazi mwenziye ambaye pia ni muigizaji, Chuchu Hans...

Ray ambaye amezaa na Chuchu mtoto mmoja wa kiume anayeitwa Jaden, amesema kuwa ana mpango wa kuongeza mtoto mwingine wa kike na mzazi mwenziye huyo kwani hafikirii suala la kuzaa huku na kulee yaani kwa wanawake tofauti tofauti..

Aidha Ray amekana skendo za muda mrefu za kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na muigizaji, Johari....

#SwahiliFlix #Ray #Johari

https://www.youtube.com/playlist?list... https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:

www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/

EXCLUSIVE: RAY Amkana JOHARI Mbele ya CHUCHU HANS "Sio MPENZI Wangu"

Disclaimer DMCA