♫musicjinni

Biashara United 1-0 Mwadui FC: Highlights - VPL 13/09/2020

video thumbnail
Biashara United imeendelea kuutumia vyema uwanja wake wa nyumbani katika ligi kuu Tanzania Bara baada ya leo kuichapa Mwadui FC bao 1-0. Goli pekee la Biashara limefungwa na Deogratius Judika Mafie dakika ya 72.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Biashara United 1-0 Gwambina: Highlights na kauli za makocha - VPL 06/09/2020

Disclaimer DMCA