♫musicjinni

MPIGA PICHA WA #DIAMONDPLATNUMZ #LUKAMBA ASHINDWA KUJIZUIA/ ALIA SANA/AKABIDHIWA GARI JIPYA

video thumbnail
Katika Kuadhimisha Kumbukumbu ya Siku ya Kuzaliwa Msanii Diamond Platnumz Leo Amemkabidhi Official VideoGrapher & Photographer Wake Lukamba Gari Jipya Aina ya Altezza, Ikiwa Maalum kwa Ajili ya Kumrahisishia Swala la Usafiri Kutokana na Kazi zake Ambazo Wakati Mwingine Anakutana na Mazingira Hatarishi Ikiwa ni Kuchelewa Kutoka Kazini na Kwenda Kufanya Kazi Maeneo ya Mbali.
Disclaimer DMCA