Goli la Feitoto | Yanga 1-0 KMC | NBC Premier League 26/10/2022 |
|
Goli pekee la Feisal Salum dakika ya 80 limeipa Yanga ushindi wa bao 1-0 dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC #NBCPremierLeague uliopigwa usiku wa leo kwenye Dimba la benjamin Mkapa.
|