Viusasa yaboreshwa na kuimarishwa |
|
App ya rununu ya Viusasa inayomilikiwa na kampuni ya Royal Media Services sasa imeboreshwa zaidi katika juhudi za kukupa wewe mteja mwaminifu burudani ya kukata na shoka kupitia kwenye simu yako ya mkononi wakati wowote. Sasa una fursa ya kupata vipindi vya burudani, vya kuelimisha na kufahamisha kwa bei nafuu na taarifa zinazochipuka bila malipo.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered. This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world. Follow us: http://citizentv.co.ke https://twitter.com/citizentvkenya https://www.facebook.com/Citizentvkenya https://plus.google.com/+CitizenTVKenya https://instagram.com/citizentvkenya |