Rubani wa ndege iliyoanguka, George Benson Kabui kuzikwa nyumbani kwao Karimen, Laikipia |
|
Rubani wa ndege iliyohusika kwenye ajali iliyosababisha vifo vya maafisa kumi wa kijeshi wakiwemo jenerali Francis Ogolla, George Benson Kabui Magondu, alipata majeraha ya kichwa kufuatia ajali hiyo.
|