FEI TOTO AFUNGUKA - "SIWEZI KURUDISHA PESA" |
|
FEI TOTO AFUNGUKA - "SIWEZI KURUDISHA PESA"
Mchezaji mpya wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' amewasili visiwani Zanzibar muda mchache baada ya kusainiwa na timu ya Azam Fc ambapo amesema amekuja Zanzibar kwa mapumziko Fei Toto ambae sasa ni mchezaji rasmi wa Timu hiyo mara baada ya kuwasili ametoa kauli juu ya utaratibu wa kurudisha fedha alizochangasha kwa watu wenye uhitaji Amesema anaamini huo ndo utakua utaratibu mzuri juu ya fedha zilizochangishwa awali kwaajili ya kumsadia kufungua kesi CAS https://www.youtube.com/@Wasafi_Media?sub_confirmation=1 WATCH WASAFI TVπΊ AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM π» 88.9 DAR/ZNZ/PWANI π» | 104.1 DODOMA π» | 94.5 ARUSHA π» | 97.3 MBEYA π» | 94.9 MWANZA π» | SHINYANGA 106.3 π» | KIGOMA 101.7 π» Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ πͺππππππππ Β©2021 πΎπππππ π΄ππ ππ. π¨ππ ππππππ ππππππππ . #wasafi #wasafitv #wasafifm |