Wafuasi wa Maina Njenga wafika DCI Nairobi kusimama naye |
|
Aliyekuwa kiongozi wa kundi haramu la mungiki Maina Njenga, ameachiliwa na makachero wa DCI baada ya zaidi ya saa tano za kuhojiwa. Njenga ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kumiliki silaha kinyume cha sheria na kuandaa mkutano haramu wa kundi la wafuasi wake. Wakati alipokuwa akihojiwa, wafuasi wa Njenga walizua vurugu katika makao makuu ya dci na kulazimisha maafisa wa polisi kurusha vitoa machozi kuwatawanya
|