Tazama magoli makali Singida Big Stars ikiwatandika Polisi Tanzania 3-0 | NBC PL 07/04/2023 |
|
Goli la Amisi Tambwe ni miongoni mwa magoli makali ya Singida Big Stars yaliyofungwa leo, na kuondoka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania.
Magoli mengine yametoka kwa Pascal Wawa dakika ya 13 na Nickson Kibabage dakika ya 57.... mechi ya Ligi Kuu ya NBC iliyochezwa kwenye Dimba la Liti, mjini Singida. |