♫musicjinni

Highlights: Dube, Chirwa watakata Azam ikiifumua Mwadui 3-0 Chamazi - VPL 15/10/2020

video thumbnail
Azam FC imepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mwadui FC, katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa leo kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi. Magoli ya Azam yamefunga na Obrey Chirwa aliyefunga mawili huku Prince Dube akifunga moja.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Goli la Azam ikiichabanga Polisi (0-1), yafunga mwaka kwa kicheko - VPL 31/12/2020

Disclaimer DMCA