DAY 4 - TENGENEZA TANGAZO LA KIBIASHARA LA VIDEO KWA SIMU CANVA | TEHAMIKA |
|
Tengeneza tangazo la video la biashara kwa kutumia simu.
Nimekuwekea hapa orodha ya websites ambazo zinatumika kwenye darasa hili la Graphics chini ya TEHAMIKA. 1.CANVA - Hii tutaitumia kutengenezea matangazo lakini pia ina app inayopatikana playstore na appstore kwa jina la CANVA https://www.canva.com/ 2. FREEPIK - Hii tutaitumia kwa ajili ya picha ambazo hazina hatimiliki https://www.freepik.com/ 3. Tutatumia website ya remove.bg kwa ajili ya kutoa background kwenye picha https://www.remove.bg/ Ukiwa na swali lolote uliza hapo kwenye comment Hapa chini nimeambatanisha picha ambazo tumetumia kutengenezea matangazo utabonyeza link kuzipakua https://ibb.co/album/hBC2xD TUFUATILIE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII https://www.instagram.com/tehamika_/ https://www.twitter.com/tehamika_/ https://t.me/tehamikafursa |