Tanzania Prisons 1-1 JKT Tanzania | Highlights | NBC Premier League 22/10/2023 |
|
Maafande wa Tanzania Prisons na JKT Tanzania wametoshana nguvu kwa sare ya bao 1-1, katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Sokoine, Mbeya.
JKT Tanzania wametangulia kwa goli la kujifunga kupitia kwa Salum Kimenya lakini Prisons wakachomoa dakika ya 69 kupitia kwa Jeremiah Juma. |