WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMESEMA SEREKALI HAITARUHUSU MTENDAJI WAKE ABAKI NA FEDHA KWA UZEMBE |
![]() |
AMETOA KAULI HIYO LEO ALHAMISI, JUNI 3 2021 BUNGENI JIJINI DODOMAKWENYE KIPINDI CHA MASALI YA PAPO KWA PAPO KWA WAZIRI MKUU WAKATI AKIJIBU SWALI LA MBUNGE WA SINGIDA MAGHARIBI,MHESHIMIWA ELIBARIKI KINGU AMBAYE ALIITAKA SERIKALI IONE UMUHIMU WA KUBADILISHA URATIBU WA KUREJESHA FEDHA ZILIZOBAKIA KWENYE HALMASHAURI KILA INAPOFIKA JUNIU AMBAYO MWISHO WA MWAKA WA FEDHA.
|