Highlights | Tanzania Prisons 2-1 KMC FC | VPL 12/02/2021 |
|
Wajelajela Tanzania Prisons wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliochezwa leo, Dimba la Nelson Mandela, Sumbawanga. Magoli ya Prisons yamefungwa na Jeremiah Juma Mgunda huku goli la KMC likifungwa na Israel Patrick Mwanda.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |