Fei Toto akabidhiwa jezi namba 6 Azam FC |
![]() |
Tazama nyota mpya wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ alivyokabidhiwa jezi yake mpya yenye namba sita (6).
Fei Toto amekabidhiwa jezi hiyo na mmiliki wa Azam FC Yusuf Bakhresa na Ofisa Mtendaji Mkuu Abdulkarim Amin |