♫musicjinni

Mkaa mbadala wa taka ngumu waonesha mafanikio

video thumbnail
Ubunifu wa utengenezaji mkaa mbadala unaotokana na taka ngumu umeonesha mafanikio makubwa katika kupunguza matumizi ya mkaa wa kawaida unaotokana na ukataji miti ovyo na kuchoma mkaa hali ambayo si rafiki kwa utunzaji wa mazingira hasa kwenye maeneo yenye uoto wa asili.

Mkaa mbadala wa taka ngumu waonesha mafanikio

Disclaimer DMCA