Magoli | Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League 06/02/2024 |
|
Simba SC imepata ushindi wa magoli 4-0 dhidi ya Tabora United, mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Ali Hassan Mwinyi, Tabora.
Magoli ya Simba yametoka kwa Pa Omar Jobe, Sadio Kanoute, Che Malone Fondoh na Fredy Koublan. Haya hapa magoli yote..... |