FULL VIDEO: MISAADA ALIYOTOA HARMONIZE KWA WATU WENYE UHITAJI MBAGALA/ DIAMOND PLATNUMZ NA BURNA BOY |
|
Kwa Kuikaribisha EP Yake Aliyopa Jina #AfroBongo ... Star Kutoka label ya Wcb Wasafi , Harmonize leo Alifanikiwa Kufika Maeneo ya Mbagala na Kutoa Msaada kwa watu wenye Uhitaji na walemavu wa Viungo ambao wamekuwa wa Kwanza Kuikaribisha na Kuibariki EP Hiyo
#Harmonize Ambae amefanya hivi kama sehemu ya kutoa sadaka, amesema kuwa, Binadamu Kuzaliwa Bila Kiungo Fulani ama kupoteza Kiungo wakati Ulikuwa Mzima ni Makusudi ya Mungu na Ana Kila sababu ya Wewe Kuwa Hivyo, ila sio wakati wa kulalamika na kukata tamaa ya Maisha kwamba Umenyimwa na haitowezekana tena kuishi Katika Shughuli Hiyo ambayo Viongozi wa Kata na Mtaa Walihudhuria, Familia Akiwemo Baba Yake Mzazi, Mpenzi wake Pamoja na Timu yake ya Kazi, Ametoa Msaada wa Vitu Mbalimbali zikiwemo Baiskeli Kwa AJili ya Walemavu, Sabuni, Fedha, Vyakula na Vitu Vingine Hii Si Mara yake ya Kwanza Kufanya Hivi, Lakini Hii Imekuwa Maalum Kwa Ajili ya Kuileta Rasmi #AfroBongo Ambayo ndani yake Kuna Mastaa Kama Diamondplatnumz Pamoja na Burnaboy #Wasafitv #Harmonize #AfroBongo |