♫musicjinni

Mbosso awatolea uvivu "Ukitaka kujifananisha na Diamond lazima uwe mambo 10"

video thumbnail
Msanii wa muziki kutoka WCB, Mbosso amefunguka kwa kudai kwamba amesikia kauli za kwenye mitandao ya kijamii zikizungumzia ni msanii gani kwa sasa ni namba moja nchini Tanzania, ambapo yeye amedai Diamond ni namba moja na wale waotaka kujilinganisha naye wanatakiwa kufanya vitu ambavyo tayari ameshavifanya kwenye muziki.

Mbosso awatolea uvivu "Ukitaka kujifananisha na Diamond lazima uwe mambo 10"

Disclaimer DMCA