♫musicjinni

Highlights | Ihefu SC 0-1 Mtibwa Sugar - VPL 18/09/2020

video thumbnail
Goli pekee la Jaffary Kibaya limeipa Mtibwa Sugar pointi tatu muhimu dhidi ya Ihefu SC, katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Tazama Highlights.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights | Ihefu SC 0-1 Mtibwa Sugar - VPL 18/09/2020

Mtibwa Sugar 2-0 Mbeya City | Highlights | VPL 18/05/2021

Magoli | Mtibwa Sugar 1-2 Polisi Tanzania | VPL 26/04/2021

Disclaimer DMCA