♫musicjinni

Exclusive: Mzazi mwenza wa Ruge aeleza madini aliyoachiwa na marehemu

video thumbnail
Msanii wa muziki na mjasiriamali, Caby ambaye ni mama wa mtoto mmoja aitwaye Trevis aliyezaa na marehemu Ruge Mutahaba, amefunguka kuzungumzia mwanzo mwisho kuhusu maisha yake, alivyojiunga na Clouds Media, THT na mengine mengi.

Exclusive: Mzazi mwenza wa Ruge aeleza madini aliyoachiwa na marehemu

Disclaimer DMCA