♫musicjinni

Uzinduzi wa Jarida la Baabkubwa Kwenye Ukumbi Wa King Solomon DSM.

video thumbnail
Tarehe 16/1/2017 kwenye U kumbi wa King Solomon kulifanyika uzinduzi wa Jarida la Baab Kubwa Magazine na Global TV Online ilipata bahati ya kupiga stori na mmiliki wa Jarida hilo.

Mmiliki wa jarida hilo ametuelezea mipango yake ikiwemo upatikanaji wa jarida hilo, ambapo kwa sasa amesema jarida hilo linapatikana tu Kenya na Tanzania lakini utaratibu unafanyika wa gazeti hilo kupatikana Uganda na Rwanda pia.

Msikilize kwenye interview tuliofanya nae hapo juu,kisha subscribe kwenye YouTube channel yetu iliuwe wa kwanza kuzipata updates zote za mastaa zinapopanda ontime.

Uzinduzi wa Jarida la Baabkubwa Kwenye Ukumbi Wa King Solomon DSM.

Disclaimer DMCA