♫musicjinni

SINGIDA BIG DAY | Singida Fountain gate 2 -1 AS Vita Club | Highlights - 02/08/2023

video thumbnail
Tazama mambo yalivyokuwa kwenye mechi ya kirafiki kati ya Singida Fountain Gate dhidi ya AS Vita Club kwenye tamasha la Singida BIG DAY ndani ya dimba la CCM Liti.

Singida Fountain Gate imeshinda mabao 2-1

Magoli yamefungwa na Dickson Ambundo na Malouf Tchakei kwa upande wa Singida Fountain Gate na Ngoma Manianga kwa upande wa AS Vita Club.

SINGIDA BIG DAY | Singida Fountain gate 2 -1 AS Vita Club | Highlights - 02/08/2023

SINGIDA BIG DAY | Singida Fountain Gate 2-1 AS Vita Club | Magoli yote - 02/08/2023

Disclaimer DMCA