♫musicjinni

MAGOLI: MBEYA CITY 1-2 SIMBA SC (TPL - 3/5/2019)

video thumbnail
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Simba SC wamepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ilopigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya.

Wenyeji Mbeya City ndiyo waliotangulia kupata bao dakika ya 22 kupitia kwa Iddy Selemani ‘Naldo’ kabla ya Simba kufanya mabadiliko na kurejea mchezoni kipindi cha pili wakipata mabao mawili kupitia kwa Jonas Mkude dakika ya 68 na Meddie Kagere dakika ya 85.

Matokeo hayo yameifanya Simba ifikishe pointi 75 katika michezo 29 iliyocheza ikiwa na pointi tano nyuma ya wapinzani wao wa jadi Yanga SC wenye pointi 80 katika mechi 34 huku Azam wakiendelea kubaki nafasi ya tatu na pointi zao 66.

MAGOLI: MBEYA CITY 1-2 SIMBA SC (TPL - 3/5/2019)

MBEYA CITY 1-2 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & KAULI ZA MAKOCHA (TPL - 03/05/2019)

Yanga SC 5-0 Ihefu SC | Highlights | NBC Premier League 11/03/2024

Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023

Tazama bao la 'ajabu' kutoka kwa Ibrahim Ajibu; Yanga SC 2-0 Mbao FC (TPL - 07/10/2018)

Simba SC ilivyoichapa Nkana FC goli 3-1

MAGOLI YOTE: AZAM FC 1-3 SIMBA SC (TPL - 22/02/2019)

MBEYA CITY 0-1 AZAM FC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 14/04/2019)

Magoli | Mbeya City 1-1 Ihefu SC - VPL 02/11/2020

Goli la Yakubu Mohamed: Mbeya City 0-1 Azam FC (TPL - 14/04/2019)

Goli la kujifunga la Zimbwe Jr: Simba SC 0-1 Kagera Sugar (TPL - 10/05/2019)

MAGOLI YOTE: SIMBA SC 8-1 COASTAL UNION (TPL - 08/05/2019)

MAGOLI: LIPULI FC 0-3 MBEYA CITY (TPL 12/05/2019)

AZAM FC 1-3 SIMBA SC; HIGHLIGHTS & INTERVIEWS (TPL - 22/02/2019)

MAGOLI: STAND UNITED 0-2 SIMBA SC (TPL - 03/03/2019)

#FT :SIMBA 4-1 YANGA Magoli Yote Haya Hapa

Goli la Mukoko Tonombe | Yanga 1-0 Polisi TZ - VPL 22/10/2020

MAGOLI: KMC 1-2 SIMBA SC (TPL - 25/4/2019)

Simba 1-0 JKT Tanzania; Goli la Hassan Dilunga dakika majeruhi (TPL - 30/4/2019)

Mbeya City 0-0 Tanzania Prisons; Highlights - VPL 03/10/2020

Bao la kwanza la Simba kutoka kwa Meddie Kagere; Simba vs Mbeya City (TPL 27/08/2018)

Mabao ya Bocco na Ajibu yaibeba Simba 2-1 mbele ya Polisi Tanzania

TZ Prisons 0-1 Simba SC; Goli la Emmanuel Okwi (TPL - 5/5/2019)

Magoli ya Simba ikitangaza ubingwa Namfua: Singida United 0-2 Simba SC (TPL - 21/05/2019)

Magoli ya Meddie Kagere: Simba SC 2-0 Ndanda SC (TPL - 19/05/2019)

Highlights: Yanga na Simba wapiga soka la kiume na kutoka sare ya 1-1 (VPL 07/11/2020)

Tanzania Prisons 2-2 JKT Tanzania | Tazama magoli ya maajabu - VPL 23/06/2020

Magoli ya John Bocco: Biashara United 0-2 Simba SC (TPL – 27/4/2019)

MAGOLI YOTE: MBAO FC 2-2 MBEYA CITY; (TPL - 30/10/2018)

Tazama magoli yote Dodoma Jiji ikiinyoosha 3-0 Ihefu SC - VPL 28/11/2020

Disclaimer DMCA