Watu 4 wamefariki baada ya kusombwa jijini Nairobi |
|
Watu wanne wamefariki kufuatia mvua kubwa iliyonyesha hapa jijini nairobi jana usiku. Miongoni mwa waliofariki ni afisa wa polisi wa kituo cha Kamukunji aliyekuwa akiwaokoa watu wanne katika eneo hilo
|