♫musicjinni

Simba SC 0-1 Ruvu Shooting - VPL 26/10/2020

video thumbnail
Mnyama Simba SC amekutana na kichapo kingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara, safari hii wakipigwa bao 1-0 na maafande wa Ruvu Shooting baada ya kile cha 1-0 kutoka kwa Tanzania Prisons katika mchezo uliopita. Mfungaji pekee wa bao la Ruvu ni Fully Zullu Maganga dakika ya 62, mechi ikipigwa Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Simba SC 0-1 Ruvu Shooting - VPL 26/10/2020

VITUKO VYA MASHABIKI WA YANGA SC WAKIINGIA UAWANJANI BONGE LA SHWANGWE// 'UBINGWA MWAKA HUU LAZIMA'

LIVE : UCHAMBUZI MECHI YA GWAMBINA VS BIASHARA (0-1) - 03/01/2021

Disclaimer DMCA