Zaidi Ya Vijana 1200 Wajiunga Na DC Paul Makonda Kutafuta Ajira |
|
Zaidi Ya Vijana 1200 Wajiunga na Mkuu wa wilaya Kinondoni Mhe. Paul Makonda kutafuta ajira, wasomi hao walikutana na Mhe. Paul Makonda katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es salaam, Jumatano 15 Julai 2015.
|