♫musicjinni

Magoli yote | Polisi Tanzania 3-0 Dodoma FC - VPL 26/09/2020

video thumbnail
Polisi Tanzania imetoa adhabu kwa Dodoma Jiji FC, ikiipa kipigo cha mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa leo Uwanja wa Ushirika, Moshi. Magoli mawili ya Polisi yamefungwa na Marcel Kaheza huku moja likifungwa na Tariq Seif Kiakala.

Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa:
► https://bit.ly/2wB6zmR

Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/
►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/
►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz
►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz
►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz

Highlights: Polisi Tanzania 3-0 Dodoma Jiji FC - VPL 26/09/2020

Magoli yote | Polisi Tanzania 3-0 Dodoma FC - VPL 26/09/2020

Disclaimer DMCA