Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | Highlights | NBC Premier League 12/03/2024 |
|
Simba SC imepata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida Fountain Gate, mchezo wa #NBCPremierLeague uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.
Saidi Ntibazonkiza amefunga magoli mawili dakika ya 6 na ya 9 kwa penati huku la tatu likifungwa na Freddy Koublan dakika ya 34. Goli pekee la kufutia machozi limefungwa na Thomas Ulimwengu, dakika ya 84. |