Azam FC 1-1 Tanzania Prisons; Highlights |
|
Azam FC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam. Obrey Chirwa ndiye aliyeitanguliza Azam dakika ya 45 kabla ya Prisons kusawazisha dakika ya 90+4.
Tazama Vodacom Premier League LIVE na EXCLUSIVE kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ►http://play.google.com/store/apps/details?id=com.azamtv.max.media Tutuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |