♫musicjinni

HATIMAE!! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah kaongelewa

video thumbnail
Toka zisikike habari za kuchana kwa Mastaa wawili wa Bongo, Mwigizaji Jackline Wolper na Mwimbaji wa Bongofleva Harmonize, Wolper hakusikika wala kuongelea hii ishu mwanzo mwisho.

Na hata Harmonize alisikika akithibitisha tu kuachana kwao lakini hakumwaga povu kama hili alilomwaga Wolper kwenye ON AIR WITH MILLARD AYO..... hii video ina kila kitu, usisahau ku-install APP ya 'millardayo' kwenye ANDROID ili upate notification ya kila STORI MPYA!!!!

HATIMAE!! Wolper afunguka kuachana na Harmonize, Sarah kaongelewa

WOLPER ATOA KALI YA MWAKA BAADA YA KAJALA KUVALISHWA PETE NA HARMONIZE #exclusive

WOLPER KAMUONGELEA MPENZI MPYA: "Ana hofu ya Mungu"

BIRTHDAY PARTY YA AUNTY EZEKIEL 2017 ! Wolper, Harmonize ndani

KAJALA AVUNJA UKIMYA ADAI KUUMIZWA NA YANAYOENDELEA MITANDAONI KUJIHUSISHA KIMAPENZI NA HARMONIZE '

Uwoya aongea kwanini hakupost Wema Sepetu alipokamatwa

KIMENUKA! Ruby Awakomoa Aunty Ezekiel Na Kusah Amemtambulisha Mpenzi Wake Mpya, Ni Mdogo Utamshangaa

Wastara aeleza kwanini ndoa yake na Mbunge imevunjika ndani ya siku 80

SHAMSA FORD amsifia WEMA SEPETU ni STAR mkubwa kuliko MASTAA WOTE wa KIKE BONGO waache WIVU

Disclaimer DMCA