ISIKUPITE HII FILAMU YA ZAMARADI MKETEMA/ WEMA SEPETU, AUNTY EZEKIEL KWENDA KIMATAIFA |
|
Zamaradi Mketema ametangaza ujio wa filamu Mpya iitwayo, #CopsEnemy ambayo waigizaji Kutoka Tanzania wameshirikiana na Mastaa wengine Kutoka nchini Nigeria na Australia huku Filamu hiyo ikiwa imeandaliwa kwa Bajeti ya Pesa za Kitanzania Milioni 200.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo, Zamaradi Mketema ameelezea jinsi gani filamu hiyo italeta Mapinduzi kwenye Game hapa nchini na Barani Africa kwa upande wa Production lakini pia jinsi gani anaipa nafasi ya kufanya vizuri kwenye soko la kimataifa zaidi. |