Magoli yote; Simba ilivyoikamua 3-0 JKT Tanzania - VPL 01/03/2021 |
|
SIMBA VS JKT: Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC wamepata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Magoli ya Simba kwenye mchezo huo yamefungwa na Chris Mugalu, Luis Miquissone na John Bocco.
Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |