Highlights | Azam FC 3-0 Ihefu SC | VPL 11/03/2021 |
|
AZAM VS IHEFU: Azam FC imeishushia kichapo cha mabao 3-0 Ihefu SC katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.
Magoli ya Azam yamefungwa na Idd Seleman ‘Nado’ huku goli moja likifungwa Ayoub Lyanga. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |