♫musicjinni

Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024

video thumbnail
Simba SC imepata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

Magoli ya Simba yametoka kwa Sadio Kanoute dakika ya 19 na Edwin Balua dakika ya 77.

Magoli | Simba SC 2-0 Tabora United | NBC Premier League

Simba SC 2-0 Tabora United | Highlights | NBC Premier League 06/05/2024

Magoli | Tabora United 0-4 Simba SC | NBC Premier League 06/02/2024

Simba SC 4-0 Tembo FC | Highlights | Azam Sports Federation Cup 31/01/2024

😳KUMEKUCHA! FEI TOTO ATAMBULISHWA RASMI SIMBA SC

Disclaimer DMCA