Magoli | Yanga 4-1 Singida BS | NBC Premier League 17/11/2022 |
|
HATTRICK: Straik Fiston Mayele amepiga #hattrick Yanga ikiishushia kichapo kichapo kizito cha mabao 4-1 Singida Big Stars katika mchezo wa ligi kuu ya NBC Tanzania Bara uliopigwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Mayele amefunga magoli yake dakika ya 16, 27, na 56 huku Kibwana Shomary akifunga goli lingine dakika ya 48 na goli pekee la kufutia machozi kwa Singida likitoka kwa Medie Kagere dakika ya 66. Haya hapa magoli yote... |