♫musicjinni

Simba 3-2 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 18/01/2023

video thumbnail
Simba SC imepata ushindi wa jasho na damu ikiwachapa Mbeya City mabao 3-2 kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Ilikuwa ni mechi ngumu pande zote, wakianza Simba kwa goli la Saidi Ntibazonkiza dakika 11 lakini Mbeya City wakachomoa dakikaya 13.

Saido akafunga goli la pili kwa Simba, kwa mkwaju wa penati dakika ya 49 na Pape Sakho akafumua bomu la Sugunyo na kuipa Simba goli la tatu dakika ya 56 kabla ya Juma Shemvuni kufunga la pili kwa Mbeya Dakika ya 78.

Katika mchezo huu pia Mbeya City walipata pigo kwa beki wao Samson Madeleke kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 66.

Simba 3-2 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 18/01/2023

Magoli na kadi nyekundu | Simba 3-2 Mbeya City | NBC Premier League 18/01/2022

Magoli yote | Mbeya City 3-3 Yanga SC | NBC Premier League 06/06/2023

Mbeya City 1-1 Simba | Highlights | NBC Premier League 23/11/2022

Magoli yote tisa (9) ya Pape Sakho kwenye NBC Premier League 2022/23

Mbeya City 3-3 Yanga SC | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

Magoli | Tanzania Prison 1-3 Simba SC | NBC Premier League 05/10/2023

Magoli | Mbeya City 1-1 Simba | NBC Premier League 23/11/2022

Mbeya City 3-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 14/10/2022

Simba 2-0 Yanga | Highlights | NBC Premier League 16/04/2023

Magoli | Mbeya City 3-1 Polisi Tanzania | NBC Premier League 14/10/2022

Magoli | Azam FC 2-3 Yanga SC | NBC Premier League 25/12/2022

Tanzania Prisons 1-3 Simba | Highlights | NBC Premier League 05/10/2023

Mashujaa FC 2-0 KageraSugar | Highlights | NBC Premier League 16/08/2023

🔴#LIVE: Simba Sc vs Yanga, Ligi kuu Tanzania Bara, NBC Premier League

Simba SC 6-1 Polisi Tanzania | Highlights | NBC Premier League 06/06/2023

🔴#LIVE: Ihefu Fc vs Simba Sc | Ligi Kuu Tanzania Bars | NBC Premier League

🟢🎤🎤DIAMOND NOMA SIKIA KIONJO CHA WIMBO MPYA WA YANGA BAADA YA KUTANGAZWA MABINGWA NBC PREMIER LEAGUE

Simba 3-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 03/02/2023

Coastal Union 1-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League

Magoli | Mbeya City 1-2 Tanzania Prisons | NBC Premier League 25/12/2022

🔴#LIVE: Simba Sc vs Yanga, NBC Premier League, Ligi Kuu

Mbeya City 1-2 Ruvu Shooting | Highlights | NBC Premier League 10/03/2023

Yanga 4-1 Mtibwa Sugar | Highlights | NBC Premier League 16/12/2023

Mbeya City 2-1 KMC | Highlights | Play Off NBC PL - 13/06/2023

Magoli | KMC 1-3 Simba | NBC Premier League 26/12/2022

Mbeya City 1-2 Tanzania Prisons | Highlights | NBC Premier League 25/12/2022

Magoli | Tanzania Prisons 2-0 Polisi Tanzania | NBC Premier League 25/10/2022

Yanga 2-0 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League 26/11/2022

Penati ya ushindi kwa Yanga dhidi ya Geita Gold (0-1) | NBC Premier League 29/10/2022

Disclaimer DMCA