Mbeya City 4-0 Biashara United | Highlights | VPL 18/07/2021 |
|
MBEYA CITY vs BIASHARA: Juma Luizio amefunga magoli matatu katika ushindi wa 4-0 ilioupata Mbeya City dhidi ya Biashara United katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu Tanzania bara kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya.
Goli lingine limefungwa na Siraji Juma na kuipa matokea yanayoifanya Mbeya City kusalia ligi kuu. Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:- ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |