Dodoma Jiji 0-1 Singida Big Stars | Highlights | NBC Premier League 26/12/2022 |
|
Goli pekee la Bruno Gomes dakika ya 80 limetosha kuwapa alama tatu Singida Big Stars ugenini dhidi ya Dodoma Jiji, mechi ikipigwa kwenye Dimba la Jamhuri, Dodoma. #NBCPremierLeague
Tazama highlights.... |