Magoli yote | JKT Tanzania 0-4 Simba SC - VPL 04/10/2020 |
|
Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba SC, wameishushia kipigo cha mabao 4-0 timu ya JKT Tanzania, mchezo ukipigwa kwenye Dimba la Jamhuri Dodoma. Medie Kagere amefunga magoli mawili huku mengine yakifungwa na Chris Mugalu na Luis Miquissone.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |