Magoli | Yanga 1-1 Namungo - VPL 22/11/2020 |
|
Yanga SC imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Namungo FC huku golikipa wake Metacha Mnata akiokoa penati ya dakika ya 90. Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Wafungaji ni Carlos Carlinhos na Stephen Sey.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |