JKT Tanzania 0-2 Dodoma FC - Highlights (VPL 12/09/2020) |
|
Timu ya Dodoma Jiji FC imepata ushindi wake wa pili mfululizo kwenye ligi kuu Tanzania Bara kwa kuichapa JKT Tanzania baoa 2-0, mchezo ukipigwa kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Magoli ya Dodoma Jiji yamefungwa na Jamal Mtegeta pamoja na Dickson Ambundo.
Tazama taarifa ya Habari na vipindi vingine vya Habari na Matukio LIVE kutoka Azam TV na UTV kupitia Azam TV Decoder au AzamTV Max App. Unaweza kupata AzamTV Max App kwa ajili ya Android kutoka hapa: ► https://bit.ly/2wB6zmR Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamtvtz/ ►INSTAGRAM: https://www.instagram.com/azamsports2/ ►TWITTER: https://twitter.com/azamtvtz ►FACEBOOK: http://www.facebook.com/azamtvtz ►WEBSITE: http://www.azamtv.co.tz |